Huu Ndio Mjengo Mpya wa Nuh Mziwanda.
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Nuh Mziwanda anayetamba na ngoma yake mpya ya “Upofu” amerudi tena kwenye headlines leo March 28,2018 baada ya kupost picha akionyesha nyumba anayojenga.
Kutokana na post ya Nuh Mziwanda ameandika ujumbe ambao umetafsiriwa na wengi kuwa unawalenga wale wote ambao wanahisi kuwa hafanyi vitu ambavyo havimletei maendeleo na kumuona kama mjinga na kusema kuwa anafanya vyote kwaajili ya mtoto wake Anya.
Nuh Mziwanda ameandika……..>>>“Mjini Wengi Wajanja Wao ‘Sisi Wajinga Daily hatuna Mipango ‘ila kila Mafanikio yapo Moyoni Mwa Mtu ‘Acha tu endelee kuchorana tu. hii hapa ya Mwanangu Anya Kwa Nguvu za Mungu imefikia Hapo #KivuleMoja .Endeleeni Kumzungumzia Nuh halafu Mie nafanya Wonders (Harakati Za kuepuka kulipa kodi 😂)”
Huu Ndio Mjengo Mpya wa Nuh Mziwanda.
Reviewed by PLATO ACADEMY
on
03:16
Rating:
No comments: