SHOW! Moni centrozone na Country Boy Hawapimiki on the stage.
Ebhana ee! ile ngoma ya Country boy inayosema BONGO KAMA ULAYA jamaa hakukosea na bila shaka alikuwa anajiimba yeye mwenyewe, Tazama hizi show mbili alizokamua pamoja na mtoto wa Dom Moni Centrozone. washkaji wamefanya Maajabu on the stage. Bofya video hapa chini ukathibitishe nilichokisema!
SHOW! Moni centrozone na Country Boy Hawapimiki on the stage.
Reviewed by PLATO ACADEMY
on
21:01
Rating:
No comments: